Skauti wakimkalibisha skafu, Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Kiete
Kamani, wakati alipowasili kuhudhuria sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya 18 ya
Wiki ya Maziwa Kitaifa Wilaya ya Babati -Manyara, jana
Mwenyekiti
wa Bodi ya Maziwa Dr, Aichi Kitalyi akiwakaribisha wageni waalikwa katika
Kilele cha Wiki ya Maadhimisho ya 18 ya Wiki ya Maziwa Kitaifa katika viwanja
vya Kwaraha Babati -Manyara.
Mkuu
wa Mkoa wa Manyara Mh Joeli Bendela, akimkalibisha Waziri wa Maendeleo ya
Mifugo na Uvuvi Dkt. Titus Kamani, Kuhutubia katika
Maadhimisho ya 18 ya Wiki ya Maziwa Kitaifa Mkoani Manyara.
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Titus Kamani, akihutubia wakati wa sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya 18 ya
Wiki ya Maziwa Kitaifa Mkoani Manyara,
***********************************
Akihutubia katika sherehe hizo, Kamani, alisema kuwa anaamini kuwa ni Fulsa Nzuri kwa Wafugaji na wakazi wa Mkoa wa Manyara, kwa ujumla kwa kuweza kuona na
Kujifuza jinsi ya Kuzalisha aina ya Mbegu nzuri ya
Ng'ombe ambao wakifugwa kitaalamu, wataongeza upatikanaji wa lita nyingi za Maziwa.
''Na kuongezeka kwa upatikanaji wa lita nyingi za maziwa pia kutaongeza kipato kwa kilamwananchi na Uchumi Kwa Taifa''. alisema
Kamani aliwataka wafugaji kuongeza juhudi katika sekta hiyo ya ufugaji, baada ya kuona maendeleo yatokanayo na bidhaa hiyo, na mapungufu katika eneo la usindikaji.
Aidha, Kamani, aliwashukuru wadhamini wanaotoa huduma za Kibenki kwa wafugaji kama CRDB, NMB na Exim
Benk kwa Kuingia katika Sekte Hiy ili Kuwasaidia Wafugajia na Wasindikaji
Katika Kuwapatia Mikopo Iliyokua nafuuu zaidi, Kauli Mbiu ya Kilele hicho ilikuwa ni 'Ng;ombe wa Maziwa
ni Fulsa ya Kiuchumi na Lishe'.
Baadhi
ya Wananchi wa Mkoa wa Manyara wakimsiiliza Waziri
Kikundi
Cha Masai wakitoa Burudani
Pia wafugaji walitoa shoo yao ya Gwaride la Ng'ombe kwa kuwapitisha mbele ya Mgeni rasmi.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule mbalimbali na walimu wao wakipozi kwa picha na Tuzo zao walizokabidhiwa na Waziri huyo.
Waziri
wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Titus Kamani, akitembelea baadhi ya mabanda katika kilele hicho. Picha na Miraji Msala.
No comments:
Post a Comment