Habari za Punde

*NYALANDU ATANGAZA NIA SINGIDA MJINI

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akihutubia wakati alipojuwa akitangaza nia ya kuwania nafasi ya Urais, kwenye Uwanja wa mpira wa Singida mjini leo jioni.
Nyalandu akowasili na mkewe Faraja Kotta.
Sehemu ya umati wa watu waliojitokeza kumsikiliza Nyalandu.
Mkewe Faraja Kotta, akizungumza.
Umati wa watu......
Wakati akiwasili uwanjani hapo......

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.