Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AAGANA NA WAPANDA BAISKELI IKULU

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na vijana watano na viongozi wao walioendesha Baiskeli toka Mbeya hadi Dar es Salaam baada ya kukutana nao kuwapongeza ikulu jijini Dar es Salaam leo. Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.