Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimia na baadhi watoto yatima kutoka vituo mbalimbali vya malezi aliowaalika kupata futari katika viwanja vya ikulu jana jioni.
Baadhi ya watoto yatima kutoka katika vituo mbalimbali vya malezi mkoa wa Dar es Salaam wakipata futari katika viwanja vya ikulu.
Rais Kikwete, akizungumza na baadhi ya watoto wakati wa hafla hiyo ya futari jana.
Picha na Fredy Maro.
No comments:
Post a Comment