Habari za Punde

*DKT. SHEIN ALIVYOPOKELEWA MJINI ZANZIBAR JANA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Wananchi na wanachama wa CCM mbali mbali   waliojitokeza  katika Barabara ya Michenzani kwa mapokezi makubwa wakati akitokea  Dodoma baada ya kuteuliwa tena na Kamati Kuu ya CCM  Taifa kugombea  Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili kupitia CCM.
 Wananchi na wanachama wa CCM mbali mbali wakimshangilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein waliojitokeza  katika Barabara ya Michenzani kwa mapokezi makubwa wakati akitokea Dodoma baada ya kuteuliwa tena na Kamati Kuu ya CCM  Taifa kugombea  Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili kupitia CCM.
 Hivi ndivyo walivyokuwa wanachama na wananchi wapenda amani kwa mapokezi ya  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika barabara ya maeneo ya Michenzani kuelekea Ofisi ya CCM Kisiwandui akitokea Dodoma leo baada ya kuteuliwa tena na Kamati Kuu ya CCM  Taifa kugombea  Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili kupitia CCM.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wazee wa CCM alipowasili  katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ndege ya Serikali akitokea Dodoma baada ya kuteuliwa tena na Kamati Kuu ya CCM Taifa  kugombea  Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili kupitia CCM.
Umati wa Wanachama wa CCM na Wananchi wapenda amani waliojitokeza kwa mapokezi makubwa  ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika barabara ya maeneo ya Michenzani kuelekea Ofisi ya Kuu ya CCM Kisiwandui  akitokea Dodoma baada ya kuteuliwa tena na Kamati Kuu ya CCM  Taifa kugombea  Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili kupitia CCM. Picha na Ramadhan Othman

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.