Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa
heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya
Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, marehemu
Celina Kombani, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika leo
Septemba 28, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Marehemu
Kombani alifariki Agosti 24 huko nchini India na anatarajia kuzikwa kesho
mkoani Morogoro.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji
mume wa marehemu Celina Kombani, aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Rais
Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Ahmad
Pangolani, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika leo Septemba 28,
2015 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Marehemu Kombani
alifariki Agosti 24 huko nchini India na anatarajia kuzikwa kesho mkoani
Morogoro.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye
mwili wa aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, marehemu Celina Kombani, wakati wa shughuli za
kuaga mwili huo zilizofanyika leo Septemba 28, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam. Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko nchini India na
anatarajia kuzikwa kesho mkoani Morogoro. KUSOMA ZAIDI BOFYA READ MORE
Spika
wa Bunge la Jamhuri, Mama Anne Makinda, akitoa heshima za mwisho mbele ya
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya
Utumishi wa Umma, marehemu Celina
Kombani, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika leo Septemba 28,
2015 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Marehemu Kombani
alifariki Agosti 24 huko nchini India na anatarajia kuzikwa kesho mkoani
Morogoro.
Mama
Maria Nyerere, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa
Waziri Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, marehemu Celina Kombani, wakati wa shughuli za
kuaga mwili huo zilizofanyika leo Septemba 28, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam. Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko nchini India na
anatarajia kuzikwa kesho mkoani Morogoro.
Mke
wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye
mwili wa aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, marehemu Celina Kombani, wakati wa shughuli za
kuaga mwili huo zilizofanyika leo Septemba 28, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam. Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko nchini India na
anatarajia kuzikwa kesho mkoani Morogoro.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana
na baadhi ya Mawaziri wakati alipowasili kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar
es Salaam, kwa ajili ya kushiriki kuaga na kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Rais
Menejimenti ya Utumishi wa Umma, marehemu
Celina Kombani, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika leo
Septemba 28, 2015. Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko nchini India na
anatarajia kuzikwa kesho mkoani Morogoro.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana
na Mama Maria Nyerere, wakati
alipowasili kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya
kushiriki kuaga na kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Rais
Menejimenti ya Utumishi wa Umma, marehemu
Celina Kombani, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika leo
Septemba 28, 2015. Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko nchini India na
anatarajia kuzikwa kesho mkoani Morogoro.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika
na wananchi na baadhi ya Viongozi wakati wa shughuli ya kuaga na kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Rais
Menejimenti ya Utumishi wa Umma, marehemu
Celina Kombani, zilizofanyika leo Septemba 28, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee
jijini Dar es salaam. Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko nchini India na

Askari
wa Bunge wakibeba Jeneza lenye mwili wa marehemu Celina Kombani, wakati
likiwasili kwenye Viwanja vya Karimjee kwa ajili ya shughuli la kuagwa kabla ya
kusafirishwa kuelekea mkoani Morogoro kwa maziko.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika
na wananchi na baadhi ya Viongozi wakati wa shughuli ya kuaga na kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Rais
Menejimenti ya Utumishi wa Umma, marehemu
Celina Kombani, zilizofanyika leo Septemba 28, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee
jijini Dar es salaam. Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko nchini India na
anatarajia kuzikwa kesho mkoani Morogoro.
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria shughuli hiyo wakiwa katika
foleni ya kwenda kutoa heshima za mwisho wakati wa kuagwa mwili huo, kwenye
Viwanja vya Karimjee, leo. 

Baadhi ya Viongozi waliohudhuria shughuli hiyo wakiwa kwenye Viwanja vya Karimjee wakisubiri kutoa heshima za mwisho.

No comments:
Post a Comment