Mashabiki wa Yanga, wakipita katika moja ya barabara kueleke uwanjani kushuhudia mtanange wa Watani zao Simba. Katika mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, mwishoni mwa wiki iliyopita, Yanga ilishinda mabao 2-0
Mashabiki wa Simba....
Mashabiki wa Yanga.....
Mashabiki wa Yanga....
Mashabiki wa Simba...
Sehemu ya Mashabiki wa Yanga.
Sehemu ya Mashabiki wa Simba.
Beki wa Yanga, Mwinyi Haji (kulia) akimiliki mpira huku akizongwa na beki wa Simba, Hassan Kessy.
Beki wa Simba, Hassan Isihaka, akimdhibiti Amis Tambwe....
Beki wa Simba, Tshabalala, akimdhibiti mshambuliaji wa Yanga, Malimi Busungu...
Askari nao wakienjoy na soka la watani wa jadi na kusahau majukumu yao uwanjani hapo.






No comments:
Post a Comment