Mtandao wa mabloga 18 wa Sub-Saharan Africa; #AfricaBlogging . Jana umezinduliwa pale Johannesburg, Ni mtandao wa mabloga wa kimataifa utakaohusika zaidi na masuala ya kukuza demokrasia na uwajibikaji kupitia kazi za kublogi. Nimebahatika kuwa mmoja wa mabloga hao nikiwa na pia mjumbe wangu Chambi Chachage, tukiwakilisha Tanzania. Ukiwa na muda soma makala yangu ya kwanza kwenye mtandao huo;http://www.africablogging.org/time-for-girls-football/
DC Mpogolo Awapongeza Walimu kwa Kazi Kubwa ya Kuandaa Viongozi
-
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewapongeza walimu kwa kazi kubwa
wanayoifanya katika jamii, akisema ni nguzo muhimu katika ujenzi wa taifa
...
1 week ago

No comments:
Post a Comment