Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam jana Alhamis Desemba 18, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa. Kikao hicho ni cha kwanza kufanyika tangu Rais Magufuli atangaze Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Tano wiki iliyopita. PICHA NA IKULU
DC Mpogolo Awapongeza Walimu kwa Kazi Kubwa ya Kuandaa Viongozi
-
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewapongeza walimu kwa kazi kubwa
wanayoifanya katika jamii, akisema ni nguzo muhimu katika ujenzi wa taifa
...
6 days ago
No comments:
Post a Comment