Rais
Mstaafu wa awamu Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, kwa Mhe. Rais wa
China Xi Jinping, wakati walipokutana kwenye Mkutano wa Tano wa Wakuu wa Nchi
za Afrika na China uliofanyika leo Jijini Johannesburg.
Mazungumzo yakiendelea....


No comments:
Post a Comment