Habari za Punde

*KIVUKO CHA MV MAGOGONI CHAENDELEA NA UKARABATI

 Kivuko cha Mv Magogoni kilichosimamisha huduma zake kwa ajili ya ukarabati mkubwa, kikiendelea kufanyiwa ukarabati.
Mafundi wa Kampuni ya Songoro Marine Boat Yard Ltd wakiendelea na kazi ya ukarabati  wa kivuko cha Mv Magogoni kilichosimamisha huduma zake kwa ajili ya ukarabati mkubwa.
 Picha na Theresia Mwami – TEMESA

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.