Wakati Viongozi kibao wakimiminika jiji la Kampala nchini Uganda leo kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais wa awamu ya saba mfululizo, Yoweri Kaguta Museven, tayari mpinzani wake Dkt. Besigye amekwisha apishwa kinyemela nchini humo kwa ajili ya kulitumikia taifa hilo. Swali ni je nchi hiyo itaongozwa na marais wawili? na kwa katiba ipi,? Pamoja na mikakati ya Kamati ya ulinzi na usalama ya nchi hiyo kuimalisha ulinzi na kuzima baadhi ya mitandao ya kijamii, kama face book na twitter huku askari wa nchi hiyo wakionekana katika baadhi ya mitaa wakipiga kwata ikiwa ni sehemu ya kuimarisha ulinzi, lakini bado video hiyo inayomuonesha Besigye akiapishwa bado imevuja.
DC Mpogolo Awapongeza Walimu kwa Kazi Kubwa ya Kuandaa Viongozi
-
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewapongeza walimu kwa kazi kubwa
wanayoifanya katika jamii, akisema ni nguzo muhimu katika ujenzi wa taifa
...
1 week ago
No comments:
Post a Comment