Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wasanii wa kizazi kipya akiwemo Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platinumz (kulia) pamoja na kutoka Afrika Kusini Mafikizolo leo Bungeni mjini Dodoma.
Kutoka (kushoto) Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhe. January Makamba, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (katikati) wakiwa na Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Diamond wakati alipofika Bungeni leo. Picha na BENEDICT LIWENGA, MAELEZO-DODOMA.
No comments:
Post a Comment