Mchezaji aliyekuwa akiichezea timu ya Fc Platinum ya Zimbabwe, Obrey Chirwa (katikati) akisaini mkataba wa miaka miwili usiku huu kuitumikia Klabu ya Yanga, baada ya kuwasili nchini leo jioni. Kushoto ni mjumbe wa kamati ya mashindano ya Yanga Mustapha Urungu na (kulia) huyo Wakili aliyesimamia zoezi hilo Jacqline Majule. Chirwa anatarajia kuungana na wenzake baada ya mchezo wa jumapili kwa ajili ya maandalizi ya mchezodhidi ya TP Mazembe unaotarajia kupigwa hapa nyumbani Juni 28 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa.
DKT. NCHEMBA AMUAGA BALOZI WA MAREKANI NCHINI
-
Na Benny Mwaipaja, Dodoma
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amesema kuwa
Tanzania ina thamini mchango mkubwa wa Taifa la Marekani ka...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment