Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira, akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa wakati wa Mahafali ya kufunga Mafunzo ya Kozi ya Uongozi Daraja la Pili , yaliyofanyika Chuo cha Zimamoto na Uokoaji Chogo, Wilayani Handeni, jijini Tanga.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira(kushoto), akimkabidhi cheti mmoja wa wahitimu 156 wakati wa Mahafali ya kufunga Mafunzo ya Kozi ya Uongozi Daraja la Pili , yaliyofanyika Chuo cha Zimamoto na Uokoaji Chogo, Wilayani Handeni, jijini Tanga.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira(kushoto), akimvisha nyota mmoja wa wahitimu 156 wakati wa Mahafali ya kufunga Mafunzo ya Kozi ya Uongozi Daraja la Pili , yaliyofanyika Chuo cha Zimamoto na Uokoaji Chogo, Wilayani Handeni, jijini Tanga.
Gwaride la heshima likipita mbele ya Mgeni Rasmi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasiara, wakati wa Mahafali ya kufunga Mafunzo ya Kozi ya Uongozi Daraja la Pili , yaliyofanyika Chuo cha Zimamoto na Uokoaji Chogo, Wilayani Handeni, jijini Tanga.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja
Jenerali Projest Rwegasira, akizungumza wakati wa Mahafali ya kufunga Mafunzo ya Kozi ya Uongozi Daraja la Pili ,
yaliyofanyika Chuo cha Zimamoto na Uokoaji Chogo, Wilayani Handeni, jijini
Tanga.Ambapo aliwaasa wahitimu kwenda kulihudumia Taifa kwa uadilifu. Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
No comments:
Post a Comment