Habari za Punde

*MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA WANASAYANSI

 Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye ufunguzi wa mkutano wa nne wa mwaka wa wanasayansi kutoka ndani na nje ya nchi ulioandaliwa na Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba Muhimbili (MUHAS) uliofanyika kwenye ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa LAPF jijini Dar es salaam
 Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi pamoja na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba mara baada ya kufungua  mkutano wa nne wa mwaka wa wanasayansi kutoka ndani na nje ya nchi ulioandaliwa naChuo Kikuu cha Sayansi na Tiba Muhimbili (MUHAS) uliofanyika kwenye ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa LAPF jijini Dar es salaam. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.