Mkuu wa Wilaya ya Karagwe, Deodatus Kinawiro, akizungumza wakati wa harambee ya uchangiaji wa madawati kwa kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano John Pombe Magufuli, iliyofayika Jijini, Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Willace Mashanda (kushoto) ni Mbunge wa Jimbo la Karagwe Innocent Bashungwa.
Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa akizungumza jambo wakati wa harambeee hiyo.
Mc, ambae ni Mhasibu wa Shirika la Bima la Taifa Mkoa wa Iringa, Symbert Kanyabuhora, akiendesha shughuli hiyo ya harambee.
Aliyekuwa Mbuge wa Jimbo la Karagwe na Wakili wa kujitegemea, Gosbert Blandes, akifurahia jambo kwa kupiga makofi wakati Mbunge wa Jimbo hilo la Karagwe, Innocent Bashungwa alipokua akizungumza jambo wakati wa harambee hiyo Jijini Dar es Salaam
Wadau wa ishio Dar es Salaam ambao ni wazaliwa wa Karagwe wakiwa katika harambee hiyo Jijini Dar es Salaam.
Kuanzia kulia ni Kaimu Mkurugenzi Wilaya ya Karagwe, Eng, Walter Kirita, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe, Wallace Mashanda, Mkuu wailaya ya Karagwe Deodatus Kinawiro, Mbunge wa Jimbo la Karagwe Mh. Innocent Bashungwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya harambee hiyo, Medard Birusya
Sehemu ya wadau
Wadau mbalimbali wakisikiliza kwa umakini
Mshauri wa Fedha na Biashara (Consultant) Dar es Salaam na Mkurugenzi Mstaafu wa Fedha kwenye Kampuni za Kigeni za Afrika ya Kusini, Leopold Bulondo akiwapungia wadau waliofika katika harambee hiyo.
Aliyekuwa Mbuge wa Jimbo la Karagwe na Wakili wa kujitegemea, Gosbert Blandes akizungumza.
No comments:
Post a Comment