Msemaji wa Klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, Jerry Muro (kushoto) akiwa na mshambuliaji mpya wa timu hiyo Mzimbabwe, Obrey Chirwa, wakati akiwa Uwanja wa ndege wa Kimataiafa wa Julius Nyerere jana usiku alipokuwa akiondoka kuelekea nchini Uturuki kwa ajili ya kuungana na wenzake katika kambi ya maandalizi kuelekea mchezo wao na Tp Mazembe wa Juni 28, mwaka huu kwenye Dimba la Taifa.
Jerry Muro akiwa na Obrey Chirwa Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana usiku.
No comments:
Post a Comment