Kocha mkuu wa Yanga Hans Pluijm, akiwaelekeza wachezaji wake wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na mchezo wao na Bajaia, unaotarajia kuchezwa usiku, ambapo timu hiyo imeanza mazoezi hayo ya usiku huu maalum kwa ajili ya uzoea hali ya hewa.
Wachezaji wakimsikiliza Kocha Pluijm....
Maelekezo ya mwalimu......
Wachezaji wakitulia kupata maelekezo ya mwalimu......usiku huu.....
Kitaeleweka tu.......
No comments:
Post a Comment