Mchezo wa kwanza wa makundi Kombe la Shirikisho kati ya Bajaia ya Argeria na Yanga, umemalizika hivi punde huko jijini Bajaia, huku Yanga wakikubari kipigo cha bao1-0 dhidi ya Bajaia. Bao hilo lilifungwa na Yassin Salhi katika dakika ya 20 na dakika ya 90+ beki wa kushoto wa Yanga Mwinyi Hajji, alizawadiwa kadi nyekundu baada ya kumchezea faulo mshambuliaji wa Mo Bajaia. Baada ya mchezo huo Yanga wanarejea nchini Uturuki kuendelea na Kambi yao kwa ajili mchezo dhidi yao na TP Mazembe unaotarajia kupigwa Juni 28 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR MSTAAFU BALOZ SEIF ALI IDI AWEKA JIWE LA
MSINGI MAHAKAMA YA MKOA KUSINI
-
Makamu wa Pili Mstaafu wa awamu ya saba wa Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewataka Mahakimu na Majaji kufanya kazi kwa
uadilifu ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment