Wachezaji wa Yanga wakiendelea na mazoezi kwenye uwanja wa Boko Veterani, leo asubuhi ikiwa ni sehemu ya maandalizi yao kuelekea mchezo wao wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Medeama utakaopigwa siku ya Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Siku ya Kimataifa ya Wanawake 2026 yasherekewa kwa Kishindo- Kilombero Sugar
-
WAFANYAKAZI Wanawake kutoka Kampuni ya Sukari Kilombero walikusanyika
kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Wanawake 2026 chini ya kauli mbiu “Give
to Gain”...
2 hours ago




No comments:
Post a Comment