Sehemu ya mashabiki wa Yanga wakiwa nje ya Jengo la Klabu hiyo maeneo ya Jangwani jijini Dar es Salaam, usiku huu wakati walipokutana na kukusanyana hapo kwa ajili ya kuzungumzia suala la kuenea kwa Tetesi za Mwenyekiti wao Yusuf Manji kutaka kujiuzulu nafasi yake ndani ya Klabu hiyo kufuatia Katibu wa Baraza la Wazee wa Yanga Mzee Ibrahim Akilimali kusikika akimshushia lawama mwenyekiti huyo katika vyombo vya habari jana.
WASIKILIZE WANACHAMA HAO WAKIZUNGUMZA NA MTANDAO HUU KLABUNI HAPO USIKU HUU.
No comments:
Post a Comment