Habari za Punde

*OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAKUTANA WADAU KUJADILI DHAMIRA YA SERIKALI KUPIGA MARUFUKU UTUMIAJI WA MIFUKO YA PLASTIKI.

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mazingira katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Richard Muyungi akifungua kikao cha Wadau kujadili dhamira ya Serikali kupiga marufuku uzalishaji na usambaji wa mifuko ya plastiki Nchini. Kilichoandaliwa na Idara ya Mazingira -Ofisi ya Makamu wa Rais. Aliyekaa kulia ni Mkuirugenzi Msaidizi Bi. Magdalena Mtenga
 Sehemu ya Wadau waliohudhuria kikao cha kujadili dhamira ya Serikali kupiga marufuku uzalishaji na usambaji wa mifuko ya plastiki Nchini. Kikao hiko kimeandaliwa na Idara ya Mazingira – Ofisi ya Makamu wa Rais.
Mmoja wa Wadau waliohudhuria kikao hiko Bwana Joseph Wasonga kutoka kampuni ya Wande Packaging akitoa maoni yake wakati wa kikao hiko cha Wadau kujadili dhamira ya Serikali kupiga marufuku uzalishaji na usambaji wa mifuko ya plastic Nchini.
Mwanasheria wa Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Isaqwisa Mwamkonda,   akitoa mada kwa Wadau waliohudhuria kikao hiko cha Wadau kujadili dhamira ya Serikali kupiga marufuku uzalishaji na usambaji wa mifuko ya plastiki Nchini. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.