wanamuziki na wanenguaji wa bendi ya Twanga Pepeta,wakishambulia kwa pamoja wakati wa Tamasha la Simba Day Uwanja wa Taifa jijini Dar re Salaam,mchana wa leo kabla ya mchezo wa kirafiki kati ya Simba na Fc Leopads mchezo unaoendelea hivi sasa huku Simba wakiongoza bao 1-0 lililofungwa na Ibrahim Ajib katika dakika ya 38.
Sehemu ya mashabiki wa Simba waliojitokeza katika Tamasha hilo.








No comments:
Post a Comment