Askari wakiimarisha ulizni katika Geti kubwa la kuingilia ndani ya Uwanja wa Taifa kushuhudia mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Yanga unaotarajia kuanza majira ya saa 10: 00 jioni.
Askari wakiwakagua mashabiki kabla ya kuingia uwanjan
Baadhi ya mashabiki wakikata tiketi
mashabiki wakikata tiketi
Mashabiki wa Yanga wakiwa katika usafiri kuelekea uwanjani
ukataji wa tiketi
Folrni ya kuingia uwanjani
Ulinzi mkali kuingia uwanjani
Sehemu ya mashabiki wa Simba waliokwishaingia ndani ya Uwanja muda huu
Sehemu ya mashabiki wa Yanga waliokwishaingia ndani ya uwanja muda huu
Askari leo wakiwa na aina tofauti na ilivyozoeleka kufanya ulinzi ambapo leo huwatazama mashabiki jukwaani kama nchi zilizoendelea
Askari akiwa tayari kwa kazi leo haina kuangalia mpira ni kazi tu
Leo ni ulinzi tu
Leo askari ni hadi majukwaani
Askari wakiwa majukwaani kuimarisha ulinzi.
Baadhi ya askari wakigawana majukumu
Shabiki akiwa njiani kuelekea uwanjani
No comments:
Post a Comment