Leo Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga amezuru kituo cha Radio cha CCM, Uhuru FM, mtaa wa Lukoma, jijini Dar es Salaam, na kuzungumza na uongozi baada ya kuona baadhi ya shughuli zinavyofanyika kwenye kituo hicho. Pichani Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru FM, Angel Akilimali akimpatia maelezo. Na ziafuatazo ni picha mbalimbali Ngemela akiwa kwenye kituo hicho cha Radio. Picha zote kwa hisani ya Uhuru FM.
NMB Yaonesha Suluhisho za Fedha kwa Sekta ya Kilimo SabaSaba
-
Benki ya NMB imeendelea kuonyesha nafasi yake katika kukuza sekta ya kilimo
kwa kutoa suluhisho za kifedha kwa wadau waliopo kwenye mnyororo wa thamani
w...
1 hour ago



No comments:
Post a Comment