Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Mabalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walioteuliwa
hivi karibuni kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali (pichani) Rais
akipeana mkono na Mhe,Balozi Emmanuel John Nchimbi atakayekwenda nchini
Brazil.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Mabalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walioteuliwa hivi karibuni kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani. Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment