Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akitoa hotuba yake ya ufunguzi katika mkutano wa Wakuu wa Mashirika ya Umma uliofanyika Ikulu, Dar es Salaam mapema leo. Mkutano huo uliandaliwa na Taasisi ya Uongozi kwa kushirikiana na Ofisi ya Msajili wa Hazina.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza katika mkutano wa Wakuu wa Mashirika ya Umma ambao ulikuwa na lengo ya kujadili nafasi za Mashirika ya Umma katika utekelezaji wa Mpango wa II wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi Profesa Joseph Semboja akitoa ukaribisho kwa Watendaji Wakuu na Wenyeviti wa Bodi za Mashirika ya Umma kwa niaba ya waandaji wa mkutano huo uliofanikiwa kuleta pamoja wakuu wa mashirika zaidi ya 70 nchini.
Sehemu ya Wenyeviti na Wakurugenzi Watendaji wa Mashirika ya Umma wakifuatilia mkutano wa Wakuu wa Mashirika ya Umma ulioandaliwa na Taasisi ya Uongozi kwa kushirikiana na Tume ya Mipango na kufanyika Ikulu, Dar es Salaam mapema leo.
Mhariri
Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya
Serikali (TSN) inayozalisha magazeti ya Habari Leo na Daily News Dkt. Jim Yonaz
akiteta jambo na mmoja wa washiriki wa Mkutano wa Wakuu wa Mashirika ya Umma
ulioandaliwa kwa ushirikiano baina ya Taasisi ya Uongozi na Msajili wa Hazina
leo Jijini Dar es Salaam. Lengo la mkutano huo ni kujadili nafasi ya Mashirika
ya Umma katika utekelezaji wa Mpango wa Pili wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka
Mitano 2016/17 -2020/21.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Wakuu wa
Mashirika ya Umma ulioandaliwa kwa ushirikiano baina ya Taasisi ya Uongozi na
Msajili wa Hazina wakifuatilia mkutano huo
leo Jijini Dar es Salaam. Lengo la mkutano huo ni kujadili nafasi ya
Mashirika ya Umma katika utekelezaji wa Mpango wa Pili wa Taifa wa Maendeleo wa
Miaka Mitano 2016/17 -2020/21.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Wakuu wa
Mashirika ya Umma ulioandaliwa kwa ushirikiano baina ya Taasisi ya Uongozi na
Msajili wa Hazina wakifuatilia mkutano huo
leo Jijini Dar es Salaam. Lengo la mkutano huo ni kujadili nafasi ya
Mashirika ya Umma katika utekelezaji wa Mpango wa Pili wa Taifa wa Maendeleo wa
Miaka Mitano 2016/17 -2020/21.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (aliyeketi katikati), Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango (wapili kutoka kulia), Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi Profesa Joseph Semboja (wapili kushoto), Kaimu Msajili wa Hazina Bw. Mihalale Mwakibinga (kushoto) na Kaimu Mtendaji Mkuu wa Tume ya Mipango Maduka Kessy (kulia) katika picha ya pamoja na Wenyeviti wa Bodi wa Mashirika ya Umma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (aliyeketi katikati), Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango (wapili kutoka kulia), Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi Profesa Joseph Semboja (wapili kushoto), Kaimu Msajili wa Hazina Bw. Mihalale Mwakibinga (kushoto) na Naibu Mtendaji Mkuu wa Tume ya Mipango Maduka Kessy (kulia) katika picha ya pamoja na Wakurugenzi Watendaji wa Mashirika ya Umma.










No comments:
Post a Comment