Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na
Mishipa ya damu toka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete Dkt. Bashir Nyangasa
(katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati
akielezea mafanikio ya taasisi hiyo toka ianzishwe, kulia ni Daktari bingwa wa
magonjwa ya moyo toka taasisi hiyo Dkt. Tulizo Shemu na kushoto ni Msemaji wa
taasisi hiyo Anna Nkinda.
Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na Mishipa ya damu toka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete Dkt. Bashir Nyangasa (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akielezea mafanikio ya taasisi hiyo toka ianzishwe, kulia ni Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo toka taasisi hiyo Dkt. Tulizo Shemu na kushoto ni Msemaji wa taasisi hiyo Anna Nkinda.
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo toka
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete Dkt. Tulizo Shemu akielezea mafanikio ya taasisi
hiyo toka ianzishwe kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema hii leo
jijini Dar es Salaam, kushoto ni Msemaji wa taasisi hiyo Anna Nkinda. Picha na Eliphace Marwa - Maelezo



No comments:
Post a Comment