Wahudumu wa Mgahawa wa KFC uliopo Mikocheni jijini Dar es Salaam, wakifanya usafi nje ya Mgahawa huo kuondoa matope yaliyosababishwa na eneo hilo kufurika maji ya mvua zilizonyesha hivi majuzi jijini. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
TRAMEPRO YAENZI URITHI WA NELSON MANDELA, YATAKA JAMII KUJENGA AMANI
-
*Na Mwandishi Wetu*
*SHIRIKA la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira Tanzania(TRAMEPRO Tanzania )
limetoa mwitokwa Watanzania, Waafrika na jumuiya ya kimat...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment