Afisa
Masoko wa Kampuni ya Yara Tanzania,
Linda Byaba (kushoto) na Afisa Ugani
Maulid Mkima (kulia) wakimwezea jambo mteja aliyetembelea katika Banda lao
katika maonesho ya SACGOT kwa wakulima yaliyofanyika kwenye jengo la LAPF
lililopo Makumbusho jijini Dar es Salaam, jana.
Wafanyakazi wa Yara wakikaribisha wageni katika Banda lao.
Afisa Masoko wa Yara Tanzania, Linda Byaba akifanya maandalizi
wakizungumza na wageni katika bandao lao
No comments:
Post a Comment