Mkurugenzi Mkuu wa Yara Tanzania, Alexandre Macedo, akitoa
mada na kufafanua mambo mbalimbali kuhusu uandaaji wa mazao,utumiaji wa mbolea
bora za Yara Tanzania, wakati wa mafunzo
kwa vitendo ya kiwanda cha Yara Tanzania na utendaji wake, yaliyoandaliwa na
Kampuni ya Yara Tanzania kwa kushirikiana na SACGOT. Mafunzo hayo pia yaliwashirikisha
washiriki kutoka nchi mbalimbali
wakiwemo Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini kama Netherland, Uganda,Un
na Norway.
Balozi wa Norway Nchini, Hannie- Marie Kaarstad, akizungumza
kwa niaba ya ubalozi na kuishukuru Kampuni ya Yara Tanzania kwa kuendelea kubalidisha maisha ya wakulima wa tanzania
kupitia elumu na usambazaji wa lishe ya mimea, wakati wa mafunzo kwa vitendo ya
kiwanda cha Yara Tanzania na utendaji wake, yaliyoandaliwa na Kampuni ya Yara
Tanzania kwa kushirikiana na SACGOT. Mafunzo hayo pia yaliwashirikisha washiriki kutoka nchi mbalimbali wakiwemo
Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini kama Netherland, Uganda,Un na Norway.
Aidha baada ya mafunzo hayo washiriki hao walitembelea
Kiwanda hicho kujionea shughuli zinazofanywa kiwanda hicho.
Mtendaji mkuu wa SAGCOT, Geoffrey Kirega ,akitoa utambulisho wa baadhi ya Viongozi
waliohudhuria mafunzo hayo yaliyofanyika jana kwenye ofisi za Kiwanda hicho.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Yara Tanzania, wakimsikiliza Mkurugenzi wakati akitoa mada
katika mafunzo hayo.
Mkurugenzi Mkuu wa Yara
Tanzania, Alexandre Macedo, akifafanua jambo kwa washiriki mbalimbali kutoka
nchi tofauti wakiwemo mabalozi,wawakilishi wa UN, Norway, Netherland, Uganda na
wakilishi wa SACGOT kuhusu upimaji wa
Udongo wakati wakitembelea kiwanda hicho.
Wakitembelea kiwandani hapo
Akifafanua jambo kwa washiriki hao
Jinsi mbolea ya Yara Tanzania inavyojazwa katika mifuko kiwandani hapo.








No comments:
Post a Comment