Neema
Bakari akisaini kurudisha Fomu za kuwania Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki,
wakati aliporudisha fomu hizo Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam,
leo mchana. Kulia ni Katibu Msaidizi wa Organizasheni CCM, Said Is-Hak, akishuhudia.
Innocent Meleck, akisaini kurudisha Fomu za kuwania Ubunge
wa Bunge la Afrika Mashariki, wakati aliporudisha fomu hizo Ofisi ndogo za CCM
Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Msaidizi wa Organizasheni
CCM, Said Is-Hak, akishuhudia.
Innocent Meleck, akikabidhi Fomu kwa Katibu Msaidizi wa Organizasheni CCM, Said Is-Hak, za kuwania Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki wakati aliporudiasha fomu hizo kwenye Ofisi ndogo za CCM zilizopo Lumumba jijini Dar es Salaam.
Magreth
John (kushoto) akisaini kitabu wakati akirejesha Fomu za kuwania Ubunge wa
Bunge la Afrika Mashariki Ofisi Ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam, leo mchana. Kulia ni Katibu Msaidizi wa Organizasheni CCM, Said Is-Hak (wa pili
kushoto) ni mume wa mgombea ambaye pia ni mgombea nafasi hiyo, James
Mwanakatwe.
Jelad
Budodi, akisaini kurudisha Fomu za kuwania Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki,
wakati aliporudisha fomu hizo Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Msaidizi wa Organizasheni CCM, Said Is-Hak, akishuhudia.
Dominic
Nkolimwa, akisaini kurudisha Fomu za kuwania Ubunge wa Bunge la Afrika
Mashariki, wakati aliporudisha fomu hizo Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar
es Salaam. Kulia ni Katibu Msaidizi wa Organizasheni CCM, Said Is-Hak,
akishuhudia. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Baadhi
ya wagombea wanaowania nafasi ya Ubunge, Bunge la Afrika Mashariki, wakiwa
katika foleni kusubiri kurudisha fomu katika Ofisi ndogo za CCM zilizopo
Lumumba jijini Dar es Salaam
Happiness
Mgalula, akikabidhi Fomu za kuwania Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki kwa
Katibu Msaidizi wa OrganizashenCCM, Said
Is-Hak, wakati aliporudisha fomu hizo
Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam.
Kilontsi Mporugonyi, akisaini kurudisha fomu.
James Mwanakatwe, akisaini kurudisha fomu.
Dkt. Kokel Melubo, akisaini kurudisha fomu.
JoyhefsibaJuma Killo, akisaini kurudisha fomu.
Mosess John Ntandu, akisaini kurudisha fomu.
Sadick Abassy, akikabidhi fomu.
Nyange Mtoro Darabu, akisaini kurudisha fomu.
No comments:
Post a Comment