Naibu Katibu
Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava (kushoto) akiongea na Katibu
Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais mjini Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora akipokewa na watumishi wa Ofisi yake mjini Dodoma mara baada ya kuwasili katika Ofisi zilizopo `Area D` Dodoma. Kulia ni Bi. Oigenia Mpanduji Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora akisalimiana na Bw. Isaya Kisiri Afisa Ugavi Mwandamizi mara baada ya kuwasili katika Ofisi zilizopo `Area D` Dodoma. Picha na Lulu Mussa
No comments:
Post a Comment