Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Hassan
Abbas (kushoto) akichangia mada katika kikao
Kazi cha Maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea katika ukumbi wa
Hazina mkoani Dodoma, kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni
Sanaa na Michezo BI. Nuru Milao.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni
Sanaa na Michezo BI. Nuru Milao (kulia)
akichangia mada katika kikao Kazi
cha Maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea katika ukumbi wa Hazina
mkoani Dodoma,kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Hassan Abbas.
Mtendaji Mkuu Wakala wa Serikali Mtandao Dkt.
Jabiri Bakari akitoa mada juu ya hali halisi ya uhuishaji wa Taarifa za
Serikali kwenye Tovuti Kuu ya Serikali na Taasisi za Serikali katika Kikao Kazi
cha Maafisa Mawasiliano Serikalini
kinachoendelea katika ukumbi wa Hazina mkoani Dodoma.
Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Mawasiliano
Serikalini Idara ya Habari (Maelezo) Bi. Zamaradi Kawawa akichangia mada katika
kikao Kazi cha Maafisa Mawasiliano
Serikalini kinachoendelea katika ukumbi wa Hazina mkoani Dodoma.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano TBC Bi. Edna Rajabu
akichangia mada katika kikao Kazi cha
Maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea katika ukumbi wa Hazina mkoani
Dodoma.
Afisa Habari Mwandamizi Tume ya Taifa ya
Uchaguzi Bi. Margareth Chambili akichangia mada katika kikao Kazi cha Maafisa Mawasiliano Serikalini
kinachoendelea katika ukumbi wa Hazina mkoani Dodoma.
Afisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja TANESCO Bi.
Neema Mbuja akichangia mada katika kikao
Kazi cha Maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea katika ukumbi wa
Hazina mkoani Dodoma.
Mkuu wa Kitengo cha Intelejensia ya
kidigitali kutoka Kampuni ya Push
Observer Kanali Mstaafu Dkt Abas Katalla akichangia mada katika kikao Kazi cha Maafisa Mawasiliano Serikalini
kinachoendelea katika ukumbi wa Hazina mkoani Dodoma. Picha na Benjamin Sawe-Maelezo








No comments:
Post a Comment