Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, akizungumza na waandishi wa habari Ofisi za
Makao Makuu ya chma hicho zilizopo Buguruni jijini Dar es Salaam, leo wakati
akitangaza maamuzi ya chama hicho na uteuzi wa baadhi ya Viongozi na kusisitiza
hawatambui mamlaka ya Katibu Mkuu wa chama hicho Maalim Seif baada ya kuitwa
mara kadhaa kuzungumza na wanachama katika ofisi hicho bila kufika.
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, akisalimiana na baadhi ya wanachama wa CUF, baada ya kumaliza mkutano na waandishi wa habari.
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, akisalimiana na baadhi ya wanachama wa CUF, baada ya kumaliza mkutano na waandishi wa habari.

No comments:
Post a Comment