Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisali katika Ibada ya Jumatano ya Majivu
pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini Wiliam Mkapa, Mke wa Waziri
Mkuu Mama Mary Majaliwa na Mke wake Mama Janeth Magufuli katika Kanisa Katoliki
Parokia ya Mtakatifu Petro lililopo
Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Paroko
Msaidizi wa Kanisa la Mtakatifu Petro Father Asis akimpaka majivu kichwani Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Ibada ya
Jumatano ya Majivu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokiya ya Mtakatifu
Petro lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisali katika Ibada ya Jumatano ya Majivu pamoja
na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini Wiliam Mkapa katika Kanisa Katoliki
Parokiya ya Mtakatifu Petro lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu
Benjamini Wiliam Mkapa wakiwatakia heri ya Masista katika Ibada ya Jumatano ya
Majivu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokiya ya Mtakatifu Petro lililopo
Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisali katika Ibada ya Jumatano ya Majivu
pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini Wiliam Mkapa, Mke wa Waziri
Mkuu Mama Mary Majaliwa na Mke wake Mama Janeth Magufuli katika Kanisa Katoliki Parokiya ya Mtakatifu Petro lililopo
Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisali katika Ibada ya Jumatano ya Majivu
pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini Wiliam Mkapa, Mke wa Waziri
Mkuu Mama Mary Majaliwa na Mke wake Mama Janeth Magufuli katika Kanisa Katoliki Parokiya ya Mtakatifu Petro lililopo
Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisali katika Ibada ya Jumatano ya Majivu pamoja
na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini Wiliam Mkapa katika Kanisa Katoliki
Parokiya ya Mtakatifu Petro lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam. Picha na IKULU

No comments:
Post a Comment