Pichani ni Kijana anayefahamika kwa jina la ERICK RAPHAEL MSYALIHA anayeishi Sinza-Mugabe ametoweka Ghafla Tarehe 13.03.2017 majira ya usiku alipochukuliwa na watu wasio famika akiwa mitaa ya nyumbani kwake. Mpaka sasa hajarejea nyumbani, hivyo anatafutwa na ndugu zake, Tunaomba yeyote atakayemuona au kupata Taarifa zake atujulishe kwa namba +255718105959 au atoe Taarifa katika Kituo cha Polisi kilicho jirani nae,Tunatanguliza Shukurani zetu
YANGA SC YAMSAJILI WINGA CHIPUKIZI WA FOUNTAIN GATE MWENYE KIPAJI
-
MABINGWA wa Tanzania, Yanga SC wamemtambulisha winga chipukiz, Juma Issa
Abushiri ‘Chuga Boy’ (18) kutoka Fountain Gate FC kuwa mchezaji wao wa
kwanza m...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment