Mstaafu
wa Manispaa ya Temeke wa mwaka 1997,
Rahima Mwingwa, mkazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam, akisaidiwa na
msaidizi wake Christina Boniface, kuongozwa baada ya kumaliza kuahikikiwa katika
Viwanja vya Karimjee leo.
Mstaafu wa Idara ya Elimu Kazi wa mwaka 1996 Wizara ya Elimu, Darini Lipegea,
mkazi wa Sinza jijini Dar es Salaam,ambaye ni mlemavu wa macho akisaidiwa na
msaidizi wake Athuman Ally, kuongozwa kuelekea kuahikikiwa katika Viwanja vya Karimjee leo.
Mkaguzi
wa Ndani wa Serikali, Everyne Mchome (kushoto) akiwelekeza jambo mmoja wa
Wastaafu aliyekuwa akijaza fomu za Uhakiki katika Viwanja vya Karimjee jijini
Dar es Salaam,leo.
Mkaguzi
wa Ndani wa Serikali, Selina Wangilisasi (kushoto) akimwelekeza jambo mstaafu
Rahima Mwingiwa, aliyekuwa akijaza fomu
za Uhakiki katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, jana. Katikati ni msaidizi
wa mstaafu huyo,Christina Boniface.




No comments:
Post a Comment