Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Angellah Kairuki akizungumza
na Waandishi wa habari(hawapo pichani) juu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi
wa Umma yatakayofanyika kuanzia tarehe 14-23 Juni ,2017 yenye kauli mbiu “Kuimarisha
Ushirikishwaji wa Jamii katika Utoaji Huduma,Vijana washirikishwe kuleta
mabadiliko Barani Afrika”.Kulia kwake ni Naibu katibu Mkuu wa Wizara hiyo
Bi,Susan Mlawi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Angellah Kairuki akiwa katika mkutano na waandishi wa Habari leo Mjini Dodoma. Picha na Daudi Manongi, MAELEZO,DODOMA.


No comments:
Post a Comment