Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza kikao cha 45 cha
Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Angeline Kairuki akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Edwin Ngonyani akifuatilia jambo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dk Suzan Kolimba hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Vijana Mhe.Anthony Mavunde akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma.
Mbunge wa Viti maalum (CCM) Mhe.Fatma Toufiq akiuliza swali katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera ,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza jambo na Mbunge wa Mtama Mhe.Nape Nnauye katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma.
Mbunge wa Viti maalum (CCM) Mhe.Ritta Kabati akiuliza swali katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni ,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura akiwa katika picha ya pamoja na wanakwaya wa Furahini K.K.K.T Ilongero-Mijuhu Singida Bungeni Mjini Dodoma. Picha zote na Daudi Manongi, MAELEZO,DODOMA.







No comments:
Post a Comment