Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwan Kikwete (wa pili kushoto) akabidhi msaada wa sehemu ya vitanda 5 vya kujifungulia, vitanda 20 vya Wodini ya wagonjwa, Magodoro 20 na mashuka 50 kwa Halmashauri ya Chalinze ambavyo vitagawiwa katika vituo Vitano (5) vya Afya vilivyo katika Tarafa 5 za Halmashauri ya Chalinze .
Vifaa hivi ni sehemu ya Utekelezaji wa Ahadi za Mheshimiwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ilani ya CCM -2015 kwa Wananchi wa Halmashauri ya Chalinze.
Maelezo baada ya makabidhiano......






No comments:
Post a Comment