Afisa Mazingira wa manispaa ya Ilala, Easter Somhe akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) kuhusu hali ya ufanyaji usafi wa Manispaa hiyo uliofanyika kwenye hoteliya Golden Tulip iliyopo jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Ofisa Habari wa taasisi ya Kilimanjaro Dialogue, Habibu Miraji.
DC Mpogolo Awapongeza Walimu kwa Kazi Kubwa ya Kuandaa Viongozi
-
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewapongeza walimu kwa kazi kubwa
wanayoifanya katika jamii, akisema ni nguzo muhimu katika ujenzi wa taifa
...
5 days ago
No comments:
Post a Comment