Daktari FEKI akiwa chini ya ulinzi wa Mlinzi wa Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam,baada ya kukamatwa leo asubuhi, hapa akipelekwa kupanda gari kauelekea Kituo cha Polisi.
Akiwa chini ya ulinzi mkali baada ya kukamatwa
Daktari Feki aliyenaswa Hosipitali ya Rufaa ya Amana akisubiri kupelekwa kituo cha polisi akidaiwa kujipatia fedha za kinyume na taratibu kutoka kwa wananchi akiwalaghai kuwaunganishia nafasi za kazi hosipitalini hapo. Kushoto mi Mlinzi wa hosipitali hiyo akimlazimisha kuinua sura ili kupigwa picha. Picha na Baraka Loshilaa



No comments:
Post a Comment