Katika pambano hilo Mayweather ameshinda kwa Technical Knockout (TKO) raundi ya 10 na kuweka rekodi ya kupigana mapambano 50 bila kupoteza. Mayweather alianza kwa kumsoma mpinzani wake na kumuachia atawale raundi tatu za mwanzo, na baada ya hapo akaanza kumchapa mfululizo hadi alipochapa kwa TKO.

JEFF POWELL'S SCORECARD MAYWEATHER ROUNDMCGREGOR
9 1 10
9 2 10
9 3 10
10 4 9
10 5 9
10 6 9
10 7 9
10 8 9
10 9 9
87 TOTAL 84
No comments:
Post a Comment