Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es
salaam leo Agosti 29, 2017. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Makamu wa Rais
Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi. PICHA NA IKULU
DC Mpogolo Awapongeza Walimu kwa Kazi Kubwa ya Kuandaa Viongozi
-
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewapongeza walimu kwa kazi kubwa
wanayoifanya katika jamii, akisema ni nguzo muhimu katika ujenzi wa taifa
...
4 days ago

No comments:
Post a Comment