Mtoto ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja akiendesha Baiskeli huku akiwa amepakia madumu matupu, ambapo haikuweza kufahamika alikuwa akiuza ama alikuwa katika harakati za kutafuta maji kama alivyonaswa na kamera ya Mafoto Blog maeneo ya Kimara jijini Dar es Salaam.
Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 27, 2024
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania January 27,
2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na
za nyuma Magazetini...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment