Kaimu
Mwanasheria wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Joachim Maambo
akijitambulisha kwenye mkutano wa Menejimenti na Wajumbe wa Chama cha
Wafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE) uliofanyika leo kwenye ukumbi wa
Mikutano wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) wa
kuihusha mkataba wa zamani. Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE) mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Gaudence Kadyango (wa kwanza kushoto) akiandika masuala mbalimbali kwenye mkutano wa wajumbe wa TUGHE na Menejimenti ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) uliofanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) wa kuihusha mkataba wa zamani.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Richard Mayongela (kulia) aliyekuwa Mwenyekiti wa mkutano wa Menejimenti na Wajumbe wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE), akiandika masuala mbalimbali wakati wa kuihusha mkataba wa zamani.Wajumbe wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE) na Menejimenti ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa kuihusha mkataba wa zamani.
No comments:
Post a Comment