Habari za Punde

MWANAFUNZI ALIYEZINDUA MAKALA YA SIKU YA MTOTO DUNIANI


Mwanafunzi wa Shule ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Steven Mkomwa akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) wakati alipokuwa akizindua makala yake ya ‘habari na mtoto’ kuelekea katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto Duniani yanayofanyika Novemba 20 ya kila mwaka. Mkutano huo umefanyika leo Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Idara ya Habari – MAELEZO.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.