Mchezaji wa timu ya Netiboli ya Cocacola, Juliana Mwita (kushoto) akiruka kudaka mpira wakati wa mchezo wa Ligi Daraja la pili Taifa dhidi yao na Zimamoto uliochezwa kwenye Uwanja wa JK Yourth Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam, leo mchana. Katika mchezo huo, Cocacola ilishinda mabao 43-31.
Cocacola wakipasha
Zimamoto wakipasha
Mchezaji wa timu ya Netiboli ya Cocacola, Sarah Jackson (kushoto) akidaka mpira huku akizuiliwa na Hellen Kiselu wa timu ya Zimamoto, wakati wa mchezo wa Ligi Daraja la pili Taifa uliochezwa kwenye Uwanja wa JK Yourth Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo, Cocacola ilishinda mabao 43-31.
Mchezaji wa timu ya Netiboli ya Zimamoto, Hamisa Jumanne (kushoto) akirusha mpira huku akizuiliwa na Anna Daniel wa Cocacola, wakati wa mchezo wa Ligi Daraja la pili Taifa uliochezwa kwenye Uwanja wa JK Yourth Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo, Cocacola ilishinda mabao 43-31.
Mchezaji wa timu ya Netiboli ya Cocacola, Juliana Mwita (kushoto) akiruka kudaka mpira wakati wa mchezo wa Ligi Daraja la pili Taifa dhidi yao na Zimamoto uliochezwa kwenye Uwanja wa JK Yourth Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo, Cocacola ilishinda mabao 43-31.
Mchezaji wa timu ya Netiboli ya Cocacola, Queen Sembea (kushoto) akiruka kudaka mpira huku akizuiliwa na wachezaji wa Zimamoto wakati wa mchezo wa Ligi Daraja la pili Taifa uliochezwa kwenye Uwanja wa JK Yourth Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo, Cocacola ilishinda mabao 43-31.
Mchezaji wa timu ya Netiboli ya Cocacola, Rose Mwaluswaswa (kushoto) akidaka mpira, wakati wa mchezo wa Ligi Daraja la pili Taifa uliochezwa kwenye Uwanja wa JK Yourth Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam, jana. Katika mchezo huo, Cocacola ilishinda mabao 43-31.
Mchezaji wa timu ya Netiboli ya Cocacola, Juliana Mwita (kushoto) akiruka kudaka mpira wakati wa mchezo wa Ligi Daraja la pili Taifa dhidi yao na Zimamoto uliochezwa kwenye Uwanja wa JK Yourth Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo, Cocacola ilishinda mabao 43-31.
Mtanange ukiendelea.......
No comments:
Post a Comment